HABARI NJEMA KWAKO MWANA DAR ES SALAAM
HABARI NJEMA KWAKO MWANA DAR ES SALAAM. Najua kila mtu anatamani kuniona na kujifunza mengi kutoka kwangu. Sasa fursa ni hii. NJOO UBUNGO PLAZA, GHOROFA YA PILI, OFFICE NAMBA 202. Nitakuwepo kukufunza juu ya uanzishaji biashara kwa mitaji midogo. Najua kila mtu anatamani kuwa na biashara yake ila tatizo kubwa limekuwa ni mitaji. Sasa basi, njoo siku ya Ijumaa, Tarehe 24/06/2016 Kuanzia saa 12:00 Mchana mpaka saa 05:00 Jioni. Ili nikupe mbinu hizi adimu kabisa. Njoo, kiingilio ni bure na nitakufundisha bure. Unaruhusiwa pia kuja na mwenzako. By, Frank A. Ndyanabo - FAN