TANGAZO LA AJIRA
TANGAZO LA AJIRA.
NYUMBANI BUSINESS PLAN ENTERPRISES
Inakutangazia nafasi ya kazi katika idara ya afisa mauzo kwa watu wote waishio MWANZA.

SIFA ZA MUOMBAJI.
••Awe ni muhitimu wa kidato cha nne Au sita.
••Awe na shahada,stashahada au cheti cha Masoko(marketing), Sayansi ya jamii(sociology), usimamizi wa biashara(business administration), fedha (finance), kibenki(banking)

KAZI ZA AFISA MAUZO.
1.Kutafuta na kutengeneza masoko mapya ya bidhaa.
2.Kuandaa taarifa ya mauzo kila siku, kwa wiki na mwezi.
3.Kufuatilia na kukusanya mauzo ya kila siku.
4.Kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa msimamizi(supervisor) wake kila siku.
MSHAHARA MNONO UTATOLEWA

TUMA MAOMBI:
Tuma maombi yako kwenda kwa Afisa Utumishi wa Nyumbani Business Plan.
Email: nyumbanibusinessplan@gmail.com

Kwa Mawasiliano zaidi.
• +255 753 183 583
• +255 684 459 947
• +255 753 183 583
• +255 684 459 947
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30/06/2016
Comments
Post a Comment