Posts

Showing posts with the label biashara

UMUHIMU WA BUSINESS PLAN KWA MFANYABIASHARA

Image
UMUHIMU WA BUSINESS PLAN KWA MFANYABIASHARA. Business Plan (mpango biashara) ni nini? Business Plan ni taarifa iliyoandikwa ambayo huonyesha lengo la biashara husika kwa kuonyesha hatua muhimu za kupitia ili kufikia lengo. Hapa unapata picha kuwa, ni wapi ulipo, unaenda wapi na jinsi gani utafika ulipo kusudia kufika. *Umuhimu wa business plan kwa mfanya biashara.* Tuangalie umuhimu wa mpango biashara kwa mfanya biashara. Mpango biashara ina umuhimu mkubwa sana kwa mfanya biashara /mjasiriamali yeyote ambapo faida zake ni kama ambavyo tutazitazama hapa chini. i) Humsaidia mfanya biashara kuepukana na uwezekano wa kuingia katika biashara yenye uwezekano wa kufa. Kama tulivyo ona katika makala zetu zilizo tangulia, business plan inakuwa kama ramani ya kukuonyesha njia sahihi ya kupitia. Hivyo ukiitumia kwa usahihi utakuwa na biashara au mradi endelevu. ii) Humsukuma mfanyabiashara kuongeza umakini katika usimamizi wa biashara yake. Muda, juhudi, utafiti na nidhamu hutumika ha...

SULUHISHO LA BIASHARA YAKO NA NDOTO YAKO.

Image
SULUHISHO LA BIASHARA YAKO NA NDOTO YAKO. Watu wengi tumekuwa tukishindwa kutimiza ndoto zetu kutokana na kutokuwa na mpango kazi na mikakati mizuri. Nyumbani Business Plan LTD imelitambua hilo na imeamua kukuletea huduma mpya kwa ajili yako. Sasa utapata Huduma ya kuandikiwa BUSINESS PROPOSAL kwa ajili ya kukuwezesha kupata mkopo au msaada wowote kwa ajili ya kuendeleza biashara yako. Tunao wataalamu waliobobea katika fani hii. Pia tunatoa huduma ya kuandika BUSINESS PLAN, tunakualika kuweza kupata huduma hii ambayo inatolewa kwa viwango vya hali ya juu kabisa. Huduma hizi zinatolewa kwa gharama ndogo kabisa kinyume na unavyofikiria. Wasiliana nasi kupitia namba +255 753 183 583 / +255 785 494 456 au tutumie barua pepe kupitia, nyumbanibusinessplan@gmail.com KARIBUNI SANA. Huduma bora ndio kipaumbele chetu.

NI ZAMU YAKO MKAZI WA MWANZA 09/07/2016.

Image
Swali la kujiuliza ni je, unandoto na unatamani itimie, ila hujui jinsi ya kuitimiza? Basi ungana nami tarehe 09/07/2016 ndani ya GOLD CREST HOTEL - Mandela hall,  kuanzia saa sita mchana mpaka saa kumi na moja jioni. Nitakuwepo kukufundisha mbinu mbalimbali za kibiashara na kukutengenezea misingi ya kutimiza ndoto yako.  1. Nitakufundisha mbinu za kuweza kutoka kuitegemea ajira tu na kuanza kujiajiri.  Pia 2. Nitakuonyesha mbinu mbalimbali za kuanzisha biashara. Pia nitakuwa na wenzangu ambao watakusaidia  kukupatia maarifa mbali mbali yatakayo fungua akili yako na kuwa mpya na kisha kuanza kutimiza ndoto yako. Kwaajili ya kukuwekea nafasi, basi tuma jina lako mapema kwenda namba +255 785 494 456. Maana watu watakuwa wengi Ivyo Tuma jina mapema ili tukuwekee nafasi. Unaruhusiwa kumualika ndugu, jamaa na rafiki yako ili nao waje wapate elimu hii BURE. KARIBU SANA.

HABARI NJEMA KWAKO MWANA DAR ES SALAAM

Image
HABARI NJEMA KWAKO MWANA DAR ES SALAAM. Najua kila mtu anatamani kuniona na kujifunza mengi kutoka kwangu.  Sasa fursa ni hii.  NJOO UBUNGO PLAZA, GHOROFA YA PILI, OFFICE NAMBA 202. Nitakuwepo kukufunza juu ya uanzishaji biashara kwa mitaji midogo.  Najua kila mtu anatamani kuwa na biashara yake ila tatizo kubwa limekuwa ni mitaji. Sasa basi, njoo siku ya Ijumaa, Tarehe 24/06/2016 Kuanzia saa 12:00 Mchana mpaka saa 05:00 Jioni. Ili nikupe mbinu hizi adimu kabisa. Njoo, kiingilio ni bure na nitakufundisha bure. Unaruhusiwa pia kuja na mwenzako. By,  Frank A. Ndyanabo - FAN

TANGAZO LA AJIRA

Image
TANGAZO LA AJIRA. NYUMBANI BUSINESS PLAN ENTERPRISES Inakutangazia nafasi ya kazi katika idara ya afisa mauzo kwa watu wote waishio MWANZA. SIFA ZA MUOMBAJI. ••Awe ni muhitimu wa kidato cha nne Au sita. ••Awe na shahada,stashahada au cheti cha Masoko(marketing), Sayansi ya jamii(sociology), usimamizi wa biashara(business administration), fedha (finance), kibenki(banking) KAZI ZA AFISA MAUZO. 1.Kutafuta na kutengeneza masoko mapya ya bidhaa. 2.Kuandaa taarifa ya mauzo kila siku, kwa wiki na mwezi. 3.Kufuatilia na kukusanya mauzo ya kila siku. 4.Kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa msimamizi(supervisor) wake kila siku. MSHAHARA MNONO UTATOLEWA TUMA MAOMBI: Tuma maombi yako kwenda kwa Afisa Utumishi wa Nyumbani Business Plan. Email: nyumbanibusinessplan@gmail.com Kwa Mawasiliano zaidi. • +255 753 183 583 • +255 684 459 947 MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30/06/2016

THAMINI KILE KILICHO MKONONI MWAKO.

Image
THAMINI KILE KILICHO MKONONI MWAKO. Nimekuwa nikishangaa wajasiliamali wenzangu ambao mala zote utamani mambo makubwa uku wakidharau yale madogo. Mtu utakuta anakwambia kuwa anatamani kumiliki kiwanda ila  cha kushangaa anadharau duka dogo alilokuwa nalo. Wakati mimi naanza ujasiliamali wangu kitu cha msingi nilichokiweka akilini Mwangu ni kuwa sikuzote kama nataka kuwa mfanya biashara mkubwa lazima niipende hii ndogo nilionayo, ndio maana kuna usemi kuwa 1000 uanza na 1. Hali iyo imekuwa ikiniongoza mpaka apa nilipofikia siri ni kukithamini kile nilicho nacho, ukikidharau basi ata wenzako watakidharau. Najua una ndoto kubwa ila tambua ndoto kubwa utokana na ndoto ndogo. Kuna watu mwanzo walikuwa wakizani nacheza vile na mpaka Sasa kuna ambao hawaamini kama ni mimi, ila nataka nikwambie ndugu yangu Ukiweza kujua jinsi ya kukipenda na kukiboresha kile ulicho nacho basi utapata mafanikio makubwa. Kumbuka kile unachotamani kuwa nacho kuna watu wamekithamini na kukijali ndio maa...

JINSI YA KUJISAJILI NA NYUMBANI BUSINESS PLAN

Image
JINSI YA KUJISAJILI NA NYUMBANI BUSINESS PLAN (NBP) Ili uweze kushiliki katika program hii, NBP Inakupa mfumo wa malipo kama ifuatavyo. * kwa wiki ni Tsh.  5000/= * kwa siku moja Tsh. 2000/= Kujisajili tuma pesa yako kwenda namba 0764246877 NB: Baada yakutuma pesa yako tuma jina lako kamili ukiambatanisha na muhamala wa malipo uliorudi baada ya kutuma pesa kwenda namba 0764246877 KARIBUNI SANA NDANI YA NBP

NYUMBANI BUSINESS PLAN

Image
Natafakari zab.116:12 nimrudishie nini bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Ameniwezesha  mangapi ikiwemo uhai? Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo?, tena ni ndugu wangapi nilianza nao mwaka lakini mpaka dakika hii sipo nao?, nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua?.  Naomba uungane nami katika kutafakari  fungu hili kwa kusema yote ni kwa NEEMA TU. Ukiweza chota nawe baraka  hii kwa kuwatumia  japo watu 5  ujumbe huu  utabarikiwa sana

NYUMBANI BUSINESS PLAN

Image

NYUMBANI BUSINESS PLAN

Image
"Tunapoelekea kuanza project yetu ya NYUMBANI BUSINESS PLAN  lazima utambue kuwa mitandao ya kijamii kama facebook, instagram, twitter, tango, telegram, imo, whatsapp, badoo, viber  n.k imekuwa ikichukuliwa kama sehemu ya kupotezea muda na kufanyia mambo ya kipuuzi. Ila unafahamu kupitia mitandao hiyo unaweza kutengeneza pesa mpaka ukashangaa? Jiandae kujifunza mbinu za kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii.  Ungana nami katika project hii nikufunze zaidi. By,  Frank A.  Ndyanabo.

NYUMBANI BUSINESS PLAN

Image
NYUMBANI BUSINESS PLAN. Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016. FRANK A. ALFRED-FAN  Inakuletee project mpya itakayo kupa nafasi ya kujifunza mbinu mbalimbali za kuendesha biashara yako kisasa uku ukiwa nyumbani. Ni kuanzia January 2016 husipange kuikosa. Tumia nafasi hii kutimiza ndoto zako zilizokwama 2015. Huna sababu  ya kuikosa Project hii mpya. Nikutakie sherehe njema za X- Mass na mwaka mpya. "Timiza ndoto yako na Nyumbani Business Plan" Frank A. Ndyanabo-FAN. 0785 494 456

KAMA UNAHITAJI PESA BASI USIWE NA PAPARA NA PESA

Image
1. UNAFIKIRI TAKUKURU ITAMALIZA JANGA LA RUSHWA MAKAZINI? 2.UNAFIKIRI MIGOMO NDO SULUHISHO LA MISHAHARA MIKUBWA HAPA TANZANIA? -Rushwa haiwezi kuisha ni kwa sababu zifuatazo:- 1.  Wafanyakazi ni wavivu sana. Kwani yeye alifikili akipata ajira basi pesa zinamtembelea. Hahaha pole km ulikua na wazo kama hilo. Wengi wafanyakaxi wana chezea utajiri mkubwa hapa duniani ambao ni muda. Muda ni kitu muhimu sana hapa duniani katika kutafuta mafanikio. Acha kutumia muda wako vibaya kwa kuangalia tamthilia,dvds, na kushinda saloon. Jifunze kutengeneza pesa ya ziada baada ya kazi. Hizo rushwa unazo kula hizo ndizo laana zinazokufanya uendelee kuwa masikini bila kujua pesa inaenda wapi. ~MUNGU HUTUNUKU MTU ATAFUTAYE PESA KWA MAPENZI YAKE~ 2. Wafakazi wanapenda mafanikio ya haraka. Mtu atafutaye kwa mafanikio ya haraka kamwe mafanikio kwake ni kidogo. Mtu anataka aanze leo biashara kesho kutwa awe tajiri??!! Acha tabia hiyo...utajiri unahitaji uvumilivu. Ndio sababu kubwa ya wafanya ...

HAYA NDIO MAMBO YA KUFANYA ILI KUJIPA HAMASA AU MOTISHA

Image
Leo naomba nianze kwa shukrani kwa wote ambao mmeniandikia barua pepe,kuchangia kwa kupitia njia ya maoni aidha kupitia hapa hapa BC au kwenye ukurasa wa Facebook na hata wale ambao mmeweza kunipigia simu na kunitia moyo nisiache kuandika dondoo hizi za kusaidiana kwa kupeana maarifa mbalimbali. Inatia hamasa kuona kwamba unanisoma na zaidi unapata maarifa fulani fulani ya kuboresha maisha yako.Hiyo ndio nia yangu ya msingi.Tafadhali usisite kuniandikia.Ukiwa na swali pia usisite kuniuliza.Najibu asilimia 99.9% ya barua pepe zote zinazonijia. Motisha au sababu ya kufanya jambo fulani(natumaini kwamba jambo hilo ni la manufaa) ndio msingi wa maendeleo ya kibinafsi na pia kijamii.Bila hamasa au motisha(motivation) ni hakika kwamba mambo mengi yangekuwa yamekwama.Dunia ya leo isingekuwa ilivyo endapo watendaji fulani fulani wasingekuwa na motisha ya kufanya mambo waliyoyafanya au wanayoyafanya. Binadamu tunatofautiana.Kuna ambao wana motisha au hamasa zaidi kuliko wengine.Mara nyingi...

JE KWA NINI WATU WENGINE NI MASIKINI NA WENGINE NI MATAJIRI?PATA JIBU HAPA

Image
Watu wengi wanajiuliza, “Siri ya utajiri ni nini?” Jee ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri? Siri kubwa ya utajiri ni kujifunza elimu ya namna ya kutafuta mtaji, kuwekeza kwa busara kwa namna ambayo daima panakuwa na ziada na faida. Kwa bahati mbaya sana, elimu hii haifundishwi darasani ila wanayo wafanyabiashara wachache na kila anayefanikiwa kujifunza siri hii huwa tajiri na huendelea kuificha. Kwa bahati nzuri, katika utafiti wagu nimeweza kuigundua siri ya utajiri. Kwa kuwa ninapenda wasomaji wangu waweze kufanikiwa na wapate manufaa kwa kununua kitabu hiki nimeamua kuiweka siri hii wazi:- - Siri ya kwanza ya kuelekea ukwasi ni kubuni mradi unaojipa, yaani unaoweza kuitoa ziada na faida. - Siri ya pili ya kuelekea kwenye utajiri ni kujifunza na kujenga tabia ya kuweka akiba - Siri ya tatu ni kuwekeza fedha hizo za akiba katika vitega uchumi ambavyo vinazalisha faida endelevu. - Siri ya nne ni kujifunza namna ya kufanya biashara na kuanzisha biashara yako ili iw...