HIKI NDIO KIFAA MAALUMU KWA AJILI YA KUPUNGUZIA UZITO



Jipatie kifaa hiki ufurahie ubora wake na uepushe gharama zako za kila siku kwenda gyme na kulipia seragem.
MATUMIZI
~Kifaa kinamfaa sana wavivu wa kufanya mazoezi.
~Kinatoa kitambi/nyama uzembe haraka
~Hakina madhara kwa mtumiaje
~Unaweza kutumia hata km una nyonyesha
PUNGUZA UZITO/KITAMBI/NYAMA ZEMBE KWA KUTUMIA VIBRO SHAPE BELT NA ALOE SOFTGEL 

VIBRO SHAPE BELT
~Hiki ni kifaa cha kisasa ambacho kinatumika kuondoa nyama zembe sehemu yoyote ya mwili kwa kukufanyia massage.

JINSI KINAVYOFANYA KAZI

~Kifaa hiki ukitaka kukitumia unakiunganisha kwenye umeme yani switch halafu unaset speed unayotaka kukufanyia massage huku ukiwa tayari umeshakifunga sehemu husika.
Unatakiwa kukifunga sehemu husika kwa muda kuanzia dakika kumi lakini usizidishe dakika 20.

DAKIKA 20 YA VIBRO BELT NI SAWA NA:

~Kuchuchumaa na kusimama mara 100
~Kukimbia SAA MOJA
~Kuogelea MASAA 2
~Kuendesha baiskeli MASAA 3

FAIDA YA KUTUMIA VIBROSHAPE BELT.
1. Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilini kwa kuyasambaza na kuyafanya yatumike yani inaongeza metabolism ya mafuta yaliyopo kwenye sehemu za kuhifadhia mafuta adipose tissue

2. Inaondoa sumu mwilini yani INA DETOXFY na kuziondoa sumu kupitia mfumo wa damu na LYMPHATIC SYSTEM
3. Speed ya kasi inaongeza utendaji kazi wa mzunguko wa damu na mfumo wa uchujaji vimelea mwilini.

4. Mashine hii ni nzuri sana kwa wanaotaka kupunguza uzito,tumbo,nyama zembe pia itakusaidia kufanya mazoezi kwa wale waliobanana na kazi kufanya mazoezi na kumaintain figure zao.
Unapokua unatumia vibro shape belt tumia pamoja na VIRUTUBOSHO VYA ALOE SOFTGEL CAPSULES VIKO 60 DOZI YA MWEZI MMOJA.

ZINGATIA
1. Utaitumia kufanya mazoezi nyumbani kwako. Yani unaifunga sehemu km ni tumboni then unaruhusu inaanza kuzunguka na kukufanyia mazoezi.
2. Ina uwezo mkubwa wa kukupunguzia uzito zaidi ya dawa zenye kuunguza dawa. Kwani utumiapo tutakupatia na kopo moja na aloe softgel capsules kutumia kwa pamoja.
3. Ni njia nzuri unaweza kutumia hata ukiwa una nyonyesha haizuii utengenezwaji wa maziwa ya mama.
5. Ni nzuri kumaintain figure.
Unapo iweka sehemu husika kwa muda wa dakika 20 ni sawa na umekimbia mwendo kasi masaa 2.
Haina madhara kwa mtumiaji kwani ni mashine inayo kufanyisha mazoezi bila ya wewe kuchoka.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

ZIFAHAMU FAIDA KUMI NA NANE ( 18 ) ZA MTI WA MPAPAI