KAMA UNAHITAJI PESA BASI USIWE NA PAPARA NA PESA

1. UNAFIKIRI TAKUKURU ITAMALIZA JANGA LA RUSHWA MAKAZINI?
2.UNAFIKIRI MIGOMO NDO SULUHISHO LA MISHAHARA MIKUBWA HAPA TANZANIA?
-Rushwa haiwezi kuisha ni kwa sababu zifuatazo:-

1. Wafanyakazi ni wavivu sana. Kwani yeye alifikili akipata ajira basi pesa zinamtembelea. Hahaha pole km ulikua na wazo kama hilo. Wengi wafanyakaxi wana chezea utajiri mkubwa hapa duniani ambao ni muda. Muda ni kitu muhimu sana hapa duniani katika kutafuta mafanikio.

Acha kutumia muda wako vibaya kwa kuangalia tamthilia,dvds, na kushinda saloon. Jifunze kutengeneza pesa ya ziada baada ya kazi. Hizo rushwa unazo kula hizo ndizo laana zinazokufanya uendelee kuwa masikini bila kujua pesa inaenda wapi.

~MUNGU HUTUNUKU MTU ATAFUTAYE PESA KWA MAPENZI YAKE~


2. Wafakazi wanapenda mafanikio ya haraka. Mtu atafutaye kwa mafanikio ya haraka kamwe mafanikio kwake ni kidogo. Mtu anataka aanze leo biashara kesho kutwa awe tajiri??!! Acha tabia hiyo...utajiri unahitaji uvumilivu. Ndio sababu kubwa ya wafanya kazi wamekata tamaa..wao wanajifanya hesabu wanajua sana yani hawataki hasara katika biashara. ~You can not create a successful company without creating two or more failure company~ Jifunze kuwa wavumilivu katika biashara .
Inaniuma sana kuona mtu ameridhika na pesa ndogo ya mfukoni anayopata kila mwezi. Hivi kweli wewe sio mbunifu kiasi hicho??
HASARA YA RUSHWA
1. Kuto urithi ufalme wa mbiguni
2.Kutofanikiwa katika maisha yako pesa hio sio halali
3.Kufukuzwa kazi na kuitesa familia yako.
ACHA KUPUZIA FURSA ZA BIASHARA EWE MFANYAKAZI, HIZO FURSA NDIO DAWA TOSHA YA WEWE KUTOKULA RUSHWA.
~~INANIUMA SANA DAKTARI UNAKULA RUSHWA BAADA TU YA UPASUAJI MGONJWA ANAKUFA~~
HIZI NI LAANA KWA NINI USIUZE HATA NYANYA KULIKO KUWEKA DOA HILO KWA MUNGU.
Mungu okoa maisha ya hawa na kuwafanya watambue fursa zingine za biashara. Amina

Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG