MAMBO 17 AMBAYO TAJIRI NA MASKINI HUTOFAUTIANA KATIKA KUFIKILIA KWAO.
Habari za leo,natumai umzima kabisa na umejaa rehema za Mwenyezi Mungu. Karibu tena katika makala yangu ya leo ninapo kwenda kukupa mtazamo kati ya TAJIRI na MASKINI,zifuatazo ni baadhi ya tofauti zilizopo kati ya makundi aya mawili.
1.TAJIRI huamini kuwa maisha yake ameyatengeneza mwenyewe,wakati MASKINI yeye huamini kuwa maisha hujitokeza tu.
2. TAJIRI hutumia pesa ili kushinda,wakati MASKINI hutumia pesa ili kushindwa.
3. TAJIRI hujituma ili kuwa tajiri,wakati MASKINI yeye hutamani kuwa tajiri bila kutenda
4. TAJIRI hufikiria mambo makubwa,wakati MASKINI huwaza mambo madogo.
5. TAJIRI hutizama fursa zilizoko mbele yake,wakati MASKINI yeye utizama vikwazo vilivyoko mbele yake.
6. TAJIRI huwausudu matajiri wengine na watu waliofanikiwa,ila MASKINI huwachukia matajiri na watu maarufu.
7. TAJIRI hujihusisha na watu wanye mafanikio,wakati MASKINI yeye hujiusisha na maskini wenzake.
8. TAJIRI hutumia pesa kujitangaza,wakati MASKINI hawna muda huo
9. TAJIRI hujihisi mkubwa katika kukabiliana na matatizo,ila MASKINI huwa mdogo katika kukabiliana na matatizo
10. TAJIRI huwa na mapokeo ya kitajiri,ila MASKINI huwa na mapokeo ya kimaskini
11. TAJIRI hulipwa kwa kutegemea kile anacho zalisha,MASKINI hulipwa kwa muda anao tumia.
12. TAJIRI huwaza mala mbili kabla ya kutenda,ila MASKINI huwaza mala moja tu kabla ya kutenda.
13. TAJIRI hutizama kwa ujumla wa mali zake,MASKINI huwaza kile tu anachokipata katika ujila wake
14. TAJIRI huwa na matumizi bora ya pesa,ila MASKIN hawezi
15. TAJIRI pesa humtumikia,ila MASKINI huitumikia pesa.
16. TAJIRI haogopi vikwazo anapokuwa anatenda kazi zake,ila MASKINI vikwazo humzuia katika utendaji wake.
17. TAJIRI hujifunza ili aweze kutenda kwa ufanisi,ila MASKINI huisi anajua kila kitu.

Comments
Post a Comment