MKAKATI WA MAFANIKIO MWAKA HUU

Kwanza napenda nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuweza kutufikisha siku hii ya leo,pili nawashukuru wazazi wangu kwa kuweza kunileta duniani isitoshe wameweza kunilea kwakipindi chote sikuwa mzigo kwao bali walivumilia mapungufu yangu nakuweza kuninyoosha katika njia ilio njema mwisho nawashukuru wadogozangu kwa kuonyesha ushilikiano wa hali na mali katika maisha yetu ya kila siku.

Kwa kuanza napenda kukukaribisha ndugu yangu msomaji katika makala yangu hii ya ujasiliamali, juu ya mada MKAKATI WA MAFANIKIO MWAKA HUU. Kwanza tujiulize ujasiliamali ni nini? ujasiliamali ni hali ya mtu kujitoa kwa hali na mali kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kujitengenezea kipato cha ziada.

 Kabla yakuendelea Ebu tujiulize maswali yafuatayo:
(i) wewe ulie ajiliwa mshahara unaopata katika ajila yako unakutosha?
(ii) je unamudu maitaji yako ya kila siku?
(iii)mshahara wako unatosha kulipa madeni ulio nayo?
(iv) Kama mshahara wako kwa sasa haukutoshi je ukistaafu ukaanza kulipwa pension ambayo ni nusu mshahara itakutosha?
(v) Mshara wako unapanda baada ya muda gani na unapanda kwakiwango unacho itaji?
(vi) Je mshara wako unaendana na thama ni ya elimu yako?
(vii) Mshara wako unakutana na mshara mpya kila mwezi?

Baada ya kujiuliza maswali ayo kama jibu la maswali yote ni NDIO basi iyo kazi ni nzuri husiiache endelea nayo Lakini kama ni HAPANA basi jifikilie mala mbilimbili ili utengeneze plan B ili upate utatuzi wa maswali yako. Kwa wale ndugu zangu amabao hatuna ajila je maisha yetu yakoje? Je tuna shughuli za kujiingizia kipato? Natumai tunazo ila sithani kama kipato tunacho pata kinatosha.

 Nimekutana na vijana wengi hasa wale ambao wana uchu wa maendeleo kila nilie kuwa naongea nae analalamikia serikali kwa kuwatelekeza bila ajila. Lakini niliwaoji kuwa baada ya serikali kuwatelekeza wamechukua atua gani ili kuakikisha wanajikomboa na umaskini,apa kila mtu alikuwa na jibu lake hasa la kukatisha tamaa ya maisha. Ila asilimia 90 ya vijana nilio ongea nao wana kitu kimoja ambacho ndio tatizo kubwa ambalo ndio limenisukuma mpaka kuamua kuandika makalia hii.

Ndugu zangu MTAJI limekuwa tatizo kubwa kwa watanzania tulio wengi,tatizo ata wale walio kwenye ajila pamoja na kuwa wana mitaji walau ya kudunduliza lakini kutokana na ratiba zao zinazotokana na kubanwa na waajili wao bado hawawezi kupata muda wa kutengeneza kipato cha ziada.

Sasa ndugu yangu napenda nikwambie kitu, kwa mtu mwenye nia na uchu wa kutimiza ndoto zake swala la MTAJI sio tatizo,unaweza kuona kama natania ila ndio ukweli wenyewe. Tatizo la watu tulio wenge tunawaza biashara ya zamani ndio maana tunawaza mitaji mikubwa, ukimwambia mtu mtaji anawaza kuanzia milioni tano au kumi kwenda juu. Napenda nikwambie kitu mtaji mkubwa kiasi icho cha mamilioni ya shilingi huwezi kukua ata siku moja badala yake ukikaa kwenye mzunguko muda mrefu katika biashara ni miaka miwili tu.

 Je unaweza kuamini kuwa TSH 26,000/= (shilingi elfu ishilini na sita) kuna watu wanaweza kuona kama natania vile, ila ninachokiandika ninamaanisha. Ebu tujiulize ninani ambae anaweza kukosa kiasi iki cha pesa? Katika karne hii ya 21 kwa mtaji huu unaweza kubadili maisha yako mpaka ukashangaa? Kwamtu ambae yuko tiali na anadhamila ya dhati katika kubadili maisha yake basi nipigie ili nikupe mbinu za kimaisha kwakutumia 26,000/= tu. Katika biashara hii mwajiliwa anaweza kuifanya kama ziada ili iweze kumtatulia maswali yake ya apo juu vilevile kwa yeyote alie tiali kuifanya kwa muda wake wote ili nae atimize ndoto zake mwisho wa siku nae atengeneze ajila kwa wengine basi nakukaribisha ili nikuonyeshe muujiza wa 26,000/= acha kufikilia mitaji mikubwa ambayo itakutesa na kukukondesha bule. Call/whatsapp +255 785 494 456

Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG