NEPLILY SANITARY PADS NEPLILY NI NINI? Asili ya jina neplily inatokana na muunganiko wa majina mawil ambayo ni: NEP' kutoka kwa neno neptunus. LILY-kutoka kwa maua ya lily ambayo ni kivutio kikubwa hasa kwa wanawake. maana nyingine maua haya hutumiwa kuonyesha ishara ya urembo,uzazi,upendo huruma nk. yaan mambo yote wanawake wanayohusika nayo na kuyapenda. WANAWAKE HUPATA MATATIZO MENGI WAKATI WA HEDHI NA KABLA. 1.kuumwa kichwa 2.maumivu ya tumbo 3.kichefuchefu 4.kukosa hamu ya kula na mengine mengi. : Pads za neplily zimetengenezwa na cotton material iliyo laini na ina uwezo wa hali ya juu kufyonza hedhi kwa haraka. Hii inamfanya mwanamke kuwa na faraja na uhuru. -imewekewa union chip ambayo inawauwa bacteria wanaoweza leta maambukizi kwenye sehemu za siri kwa muda huo,kwa ufupi inazuia urinary tract infection( U T I.) Ina uwezo wa kunata chupi vizur ili kuzuia kuteleza,hivyo kumfanya mwanamke kuwa huru bila ya kuwa na wasiwasi. -Ina uwezo wa kupitisha hewa (yaa...