NEPLILY SANITARY PADS





 NEPLILY SANITARY PADS
NEPLILY NI NINI?
Asili ya jina neplily inatokana na muunganiko wa majina mawil ambayo ni:
NEP' kutoka kwa neno neptunus.
LILY-kutoka kwa maua ya lily ambayo ni kivutio kikubwa hasa kwa wanawake.
maana nyingine maua haya hutumiwa kuonyesha ishara ya urembo,uzazi,upendo huruma nk.
yaan mambo yote wanawake wanayohusika nayo na kuyapenda.
WANAWAKE HUPATA MATATIZO MENGI WAKATI WA HEDHI NA KABLA.
1.kuumwa kichwa
2.maumivu ya tumbo
3.kichefuchefu
4.kukosa hamu ya kula
na mengine mengi.
: Pads za neplily zimetengenezwa na cotton material iliyo laini na ina uwezo wa hali ya juu kufyonza hedhi kwa haraka.
Hii inamfanya mwanamke kuwa na faraja na uhuru.
-imewekewa union chip ambayo inawauwa bacteria wanaoweza leta maambukizi kwenye sehemu za siri kwa muda huo,kwa ufupi inazuia urinary tract infection( U T I.)
Ina uwezo wa kunata chupi vizur ili kuzuia kuteleza,hivyo kumfanya mwanamke kuwa huru bila ya kuwa na wasiwasi.
-Ina uwezo wa kupitisha hewa (yaani breathable) hivyo mwanamke huwa fresh.
-Pemben yake kuna vishikio vinavyosaidia kushika chupi vizuri na kuzuia kuvuja kwa pemben.
UBORA WAKE
1.Ni super absorbent-ina uwezo wa kufyonza hedhi kwa kiwango kikubwa zaidi ya ml 250
No leakes-haipitishi hedhi,uchoke ww na uitoe.
pia ni kinga dhidi ya magonjwa kama UTI na fungus.
Anaeitaji kwa jumla na rejareja tuwasiliane kwa kupiga/text/whatapp 9785 494 456






Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG