Popular posts from this blog
FAIDA ZA MMEA WA GINSENG
FAIDA ZA MMEA WA GINSENG. Ginseng ,au maarufu kama “king of herb” (mfalme wa mimea). Mmea huu umekuwa moja ya maajabu ya dunia kutokana na uhodari wake katika matibabu. Mmea huu unapatikana hasa kaskazini mwa America na Mashariki mwa Asia(hasa kaskazini mwa china,Japani na Korea) hasa maeneo yenye baridi. Kuna aina kuu mbili za mmea huu : American Ginseng(Panax quinquefolium) na Asian Ginseng au China ginseng(Panax ginseng) American Ginseng ni zenya asili ya ubaridi( Ying energy) na Asian Ginseng ni zenye asili ya ujoto(Yang ginseng) , hivyo basi watu wenye asili ya ubaridi au waishio maeneo ya baridi wanashauriwa kutumia Asian ginseng ili waweze kupata joto na wale wenye asili ya joto au waishio maeneo ya joto wanashauriwa kutumia American ginseng kwaajili ya kuongeza baridi katika mili yao. Vinginevyo matatizo makubwa yanaweza kujitokeza hasa kwa watu wenye shinikizo la damu . Mbali na utofauti wote huo lakini mimea yote ina kiungo ...
FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.
Mapera ni matunda yanayo patikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendelewi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ya mwili wa mwanadamu. Zifuatazo ni faida kumi za mapera. 1. Utajiri wa Vitamin C: Mapera yana utajiri mkubwa wa Vitamin C ambayo ni muhimu sana katika mwili wa mwanadamu. 2. Ni kinga nzuri ya kisukari. Ulaji wa watu wengi unawaweka katika hatari ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari lakini matumizi ya mapera yatakupunguzia hatari ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari Hii ni kwa sababu mapera yana utajiri mkubwa sana wa Fibre. Fibre ni muhimu sana katika kupunguza kiasi cha sukari kwenye damu. Vilevile ni muhimu sana katika kuusafisha mfumo wa usahihi. 3. Kuimarisha Uwezo Wa Kuona Mapera yana utajiri mkubwa sana wa Vitamin A au Retinol ambayo ni muhimu sana katika kusaidia kuona vizuri. Hivyo basi kama ilivyo kwa karoti, mapera yanasaidia sana katika kuongeza na ku...


Comments
Post a Comment