KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA BIASHARA YA MTANDAO
KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA BIASHARA YA MTANDAO.
Habari yako ndugu msomaji wa makala zangu za kila siku,natumai ukosalama kabisa.
Leo nataka nikupe siri kwanini watu wengi wanashindwa kufanya biashara hii ya mtandao.
Biashara ya mtandao mala nyingi huusidha bidhaa kwa makampuni yalio mengi na machache uhusisha uduma.
Sasa leo tujikite katika aya yanayohusika na usambazaji wa bidhaa.
Walio wengi wanapoingia ubia na makampuni ukosa kuzingatia ile dhana ya msingi ya mtandao, WATU UANZA KUWAZA KUUZA BIDHAA ILI KUPATA FAIDA YA REJAREJA,BADALA YA KUWAZA KUTENGENEZA MSULULU WA WATU KATIKA MTANDAO. Unapo ingia tu katika biashara ya mtandao na kuanza kuwa muuzaji badala ya kutengeneza network basi wewe utofautiani na mtu anaefanya biashara ya kizamani ya uchuuzi.
Biashara ya mtandao sio uchuuzi wa bidhaa bali ni utengenezaji wa mtandao.
Unapokuwa ume waunganisha watu ni kazi yako sasa kuwafundisha na kuwaelekeza kuwa wao katika biashara ya mtandao ni watumiaji wa mwisho wa bidhaa ivyo kazi yao kubwa ni kutengeneza mtandao wa watu watakao wawezesha kuwa na bomba la pesa maishani mwao.
Kwa mafunzo aya na mengine zaidi unaweza nitafuta whatsapp au ukanipigia kwa number +255785494456
Au unaweza nitumia email address yako ili niwe nakutumia masomo mbalimbali.
KARIBU SANA.

Comments
Post a Comment