MUUJIZA WA BIASHA YA KISASA BILA MTAJI
Biashara nyingi zinafanyika ila biashara ya kisasa inamuujiza wake ambao watu wengi hawaugundua.
Biashara ya kisasa ni ipi?
Biashara hii ndio wengine wanaita biashara ya mtandao au network marketing kwa lugha ya wenzetu.
Biashara hii ni mfumo wa ufikishaji uduma kutoka kiwandani na kwenda kwa mtumiaji wa mwisho moja kwa moja kupitia kwa mtu tunaemuitata msambazaji(distributor).
Msambazaji uyu anakuwa ameingia ubia na kampuni husika kwa gharama Kidogo. Pia anaruhusiwa kuwashilikisha watu wengine katika mfumo huu.
Ivyo basi biashara hii muujiza wake uko Katika mambo aya yafuatayo:
1. OPT-Other People's Time
Hii Maana yake msambazaji anatumia muda wa watu wengine kujitengenezea pesa. Akisha unganisha watu nakuwafundisha jinsi ya ufanya biashara basi anawaacha na wao waweze kujiendesha kwa kutumia muda wao. kwakufanya ivyo watakapokuwa wanatumia muda wao kufanya kazi basi yule msambazaji aliewafundisha atakuwa analipwa kutokana na utendaji kazi wao.
2. OPM-Other People's Money.
Apa msambazaji anatumia pesa ya watu kufanya biashara. Yeye akisha kuunganisha kwenye kampuni na kukufundisha mbinu za biashara iyo na faida zake basi wewe utafanya maamuzi ya kuanza kufanya biashara kwa kutoa pesa yako na kununua bidhaa na kuanza usambazaji. Kwa wewe kufanyaivyo basi itaonekana kuwa mtaji wake unakuwa maana atakuwa kama kanunua yeye na mwisho wa siku atapatiwa gawio lake kutokana na kitendo icho. Vivyo ivyo nawewe ukipata mtu nawewe ukamwelimisha kama ulivyo elimishwa na wewe basi nawe utalipwa vivyoivyo. Kwaiyo inakuwa ni mwendelezo tu.
3. OPE- Other People's Experience.
Apa msambazaji anatumia ujuzi wa watu wengine kutengeneza pesa. Unapokuwa msambazaji na ukaweza kupata kuunganisha watu wenye ufahamu mzuri wa biashara ya mtandao basi hautaitaji nguvu nyingi sana maana unakuwa na watu wenye uhelewa na wanaojua nn wanacho kifanya.
Ivyo basi kwakuzingatia mambo ayo matatu OPT,OPM na OPE utaona kuwa unapotaja kufanya biashara hii ya kisasa huitaji kuwa na mtaji wa kutisha bali mtaji wako mkubwa ni dhamila yako ya kujiletea mabadiliko maishani mwako.
Je ungependa kufanya bishara hii ya kisasa ambayo itaweza kukutengenezea kipato endelevu na utakacho vuna mpaka uzao wako wote?
Basi Ungana nami ili nikufundishe mambo mbalimbali ya biashara ya karne hii ya 21 na nikuonyeshe kampuni zilizo bora zaidi kwako.
Imeandaliwa na kutolewa na Frank Ndyanabo.
+255785494456

Comments
Post a Comment