SHINIKIZO LA DAMU HUSABABISHWA NA NINI?
SHINIKIZO LA DAMU HUSABABISHWA NA NINI?
AINA YA KWANZA: Asilimia 90-95 sababu huwa hazijulikani na kitaalamu huitwa primary or essential hypertension. Ingawa vitu vifuatavyo vimehusishwa kupelekea kupata aina hii ya shinikizo la damu. Navyo ni:
-Uvutaji sigara
-Unene (visceral obesity)
-Unywaji wa pombe
-Upungufu wa madini ya potassium
-Upungufu wa vitamin D
-Umri mkubwa
-Chumvi na madini ya sodium kwa ujumla
-Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
-Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
AINA YA PILI: Asilimia 5 huwa na sababu dhahiri zinazopelekea kupata aina hii ya shinikizo la damu na huitwa kitaalamu secondary hypertension. Na sababu hizi ni:
-Hali ya kukosa hewa usingizini (sleep Apnea)
-Kasoro ya kuzaliwa nayo katika mshipa mkubwa wa damu (Coarctation of Aorta)
-Saratani za figo (wilm’s tumor, renal cell carcinoma)
-Saratani ya tezi iliyo juu ya figo (pheochromocytoma)
Ujauzito – wapo wakina mama wajawazito ambao hupata shinikizo la damu na huwa hatarini kupata kifafa cha mimba (eclampsia)
-Magonjwa ya figo (renal artery stenosis, glomerulonephritis
DALILI ZAKE
Mara Nyingi Huwa Hamna Dalili Zozote, Na Kama Zikiwepo Mgonjwa Huwa Na Dalili Zifuatazo:
-Uchovu
-Maumivu Ya Kichwa
-Kuhisi Mapigo Ya Moyo Kwenda Haraka
-Kichefuchefu
-Kutapika
-Damu Kutoka Puani
-Kutoweza Kuona Vizuri (Blurred Vision)
-Kusikia Kelele Masikioni
-Na Mara Chache Kuchanganyikiwa
-Kupoteza Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Upungufu Wa Nguvu Za Kiume
MADHARA YANAYOWEZA KUELETWA NA SHINIKIZO LA DAMU
-Kiharusi
-Moyo Kushindwa Kufanya Kazi ( Congestive Heart Failure)
-Madhara Katika Mshipa Mkubwa Wa Damu Ambapo Ukuta Wa ndani Huchanika Na Damu Hukusanyika Katika Ukuta Wa Mshipa huo(aortic Dissection)
--Magonjwa Ya Mishipa Ya Damu
-Kushindwa Kuona
-Athari Katika Ubongo
-Kupungua Nguvu Za Kiume
JINSI YA KUZUIA SHINIKIZO LA DAMU
-Chakula cha afya kisicho na mafuta mengi na chenye madini ya potassium kitaalamu kinaitwa DASH diet (dietary approaches to
stop hypertension)
-Mazoezi mara kwa mara- angalau nusu saa kwa siku
-Kwa wavutaji sigara kuacha kuvuta sigara
-Punguza au kama unaweza acha unywaji wa pombe ( kwa wanaume angalau bia 2 kwa siku na wanawake bia 1)
Punguza utumiaji wa chumvi hasa ya kuongeza mezani (usitumie zaidi ya gramu 1.5)
-Punguza msongo mawazo
Hakikisha unakuwa kwenye uzito wa afya, kama uko kwenye uzito wa hatari fanya mpango wa kupunguza uzito.
Matumizi ya mafuta ya samaki husaidia kupunguza shinikizo la damu, kwa wenye shinikizo la damu.
-Pia unaweza pata tiba sahii kwa ugonjwa huu kwakutumia dawa ya mitishamba asilia ijulikanayo kama Ginkgo.
Kwa ushauri na tiba wasiliana nami Frank A.Ndyanabo +255 785 494 456
KARIBU SANA

Comments
Post a Comment