WACHINI HAWEZI KUMSAIDIA WA JUU.
Katika maisha ya kawaida hii inaweza kukushangaza kuona kuwa alieko chini ataendelea kuwa chini daima kama hatapata msaada wa kumtoa alipo.
Kuna msemo wawenzetu kuwa kuwa,"down people can't help the down people,but up people can help the down people"
Kauli hii inauzito sana ndani yake,yaani haipo ata siku moja alieko chini aweze kumnyanyua mwenzake aloeko chini bali mtu alieko juu ndiopekee awezae kumnyanyua alieko chini.
Sasa basi ukitaka kufanikiwa katika jambo fulani lazima utafute yule aliekwisha fanikiwa katika jambo lile ndio utaweza pata muongozo maana ukimtafuta mtu hasie faamu jambo lile atakupoteza.
Yawezekana umekuwa ukitaka kufanya biashara fulani ila sasa hujui uanzie wapi,chakufanya tafuta watu waliokwisha kutangulia na waliofanikiwa katika biashara iyo watakupa muongozo sahii.
Kwa mafunzo mengi zaidi juu ya mafanikio nitafute whatsapp au piga/text +255785494456
Waweza pia tuma email address yako ili nikutumie masomo ayo moja kwa moja
Comments
Post a Comment