UNATAKA KUBADILI MAISHA YAKO KWA KUONGEZA KIPATO CHAKO?

Habari yako ndugu msomaji wa makala zangu. Leo uko na mimi apa Frank A. Ndyanabo, mkufunzi wako wa kila siku katika ujasiliamali wenye tija katika maisha yako ya kila siku.
Najua wengi wetu tumekuwa na maisha magumu kwa kuwa na vipato visivyo tosheleza maitaji yetu ya kila siku.
Leo nitakupatia njia rahisi itakayo weza kubadili maisha yako kutoka chini kwenda juu endapo utazingatia mambo ayo nakuyafanyia kazi.
Kwanza tuangalie mambo aya ambayo ndio kiini cha mada yetu leo:
1⃣ Employment(ajira)
2⃣ Self employed(ajira binafsi)
3⃣ Business owners(wamiliki wa biashara)
4⃣ Investors(wawekezaji)
Wengi wetu tuko katika kundi number 1 na 2 na tunatamani kuwa kwenye number 3 na 4
Sasa basi jiulize ni shida gani unakumbana nazo katika ajira yako kila siku. Apa kila mtu anaujua uchungu wake kulingana na ajira alio nayo. Katika ajira kuna mambo mengi ambayo yanapelekea watu wengi tunashindwa kutimiza ndoto zetu. Maana waajili wengi wanatumia nguvu zetu,muda na elimu katika kutimiza ndoto zao uku tukilipwa ujira mdogo. Najua wakati tuko shule tulikuwa na ndoto fulani ila zimeshindwa kufikiwa kutokana na changamoto za maisha yetu.
Kutokana na changamoto wengi tumeamua kujitafutia mbadala wa maisha kwa kujiingiza katika ujasiliamali kwa kufanya biashara mbalimbali,ili walau kurahisisha maisha. Kundi hili linakuwa kila siku ila chakushangaza bado watu hawafikii ndoto zao pamoja na kujiingiza katika ajira binafsi ambapo unaitumikia pesa. Hii ni kutokana na changamoto zinazo jitokeza katika biashara zetu,changamoto hizi ni kama swala la masoko,uchuuzi usio na tija,kuigana katika biashara maana mtu anafungua kibanda cha simu uku kazungukwa na watu 20 ndani ya eneo ilo ilo wanaofanya biashara iyo iyo,mwisho wa siku mnaishia kugawana wateja na mwisho wasiku watu wanakata tamaa.
Sasa basi ili uweze kutoka katika makundi ayo mawili ya kutegemea ajira na kujiajili katika biashara ndogondogo inabidi sasa ufikilie kumiliki biashara na kuwa muwekezaji.
Unapokuwa mmiliki wa biashara maana yake unakuwa na biashara kubwa ambayo unaweza kuajili watu mbalimbali katika biashara iyo na wakafanya kazi badala yako na ukaweza kubadilisha maisha yako kwa urahisi,katika atua hii pesa inakutumikia wewe. Ukiweza kuwa mmiliki wa biashara basi uwekezaji kwako unakuwa rahisi mno naapo ndio utakapo ona utamu wa maisha,najua kila mtu anatamani kumiliki makampuni,majumba yakifahari,mashamba n.k
Sasa jiulize ni jinsi gani unaweza kuwa mmiliki wa biashara na mwisho wa siku uwe muwekezaji?
Njia rahis ni hii ambayo nimeweza kuitumia mimi mwenyewe mpaka sasa nimeweza kutengeneza ajira kwa watu zaidi ya 100 na uzuri wa umiliki wa biashara ata nisipofanya kazi lakini pesa inaendelea kuingia,njia hii imeweza kubadili maisha yangu kwa jinsi ya ajabu sana.
Sitaki niongee mengi ila nakukaribisha na tuungane katika biashara ya mtandao,biashara ambayo itakubadilisha maisha yako kinyume na ulivyo tarajia,atakama umeajiliwa au ni mfanya biashara mdogomdogo ungana nami niweze kukuongoza na kukufundisha kutoka apo ulipo na kuwa mmiliki wa biashara na mwishowe uwe muwekezaji na ufurahie maisha.
Imeandaliwa na kuletwa kwenu na Frank A. Ndyanabo mkufunzi wako katika biashara hii ya karne ya 21. Kwa mafunzo au ushauri wasiliana nami kwa kupiga au whatsapp +255785494456.

Comments
Post a Comment