ATAFUTAE MAFANIKIO HAJUI MLANGO SAHIHI KWAKE.
ATAFUTAE MAFANIKIO HAJUI MLANGO SAHIHI KWAKE.
Habari ya leo ndugu msomaji wangu. Nisiku nyingine tena tunakutana apa katka jukwaa hili ili tupeane dondoo mbili tatu.
Kwanza kabisa nimshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwakutujaalia pumzi kwa siku zote hizi. Napia nimshukuru kwa kumuita baba yetu Mzee ALFRED NDYANABO katika makao yake,ampumzishe kwa amani, Amina.
Basi twende katika mada yangu moja kwa moja. Nimekuwa nikifuatilia watu mbalimbali,nimesoma vitabu na majalida mbalimbali,lakini pia sikusita kuzungumza na watu mbalimbali. Yote hii ni kutaka kujua je watu wanayatafutaje maisha yenye mafanikio.
Kitu nilichokuja kugundua baada ya ufuatiliaji wangu huo na kuamua kuyaweka katika matendo nikagundua kuwa,watu wengi wenyekuyatafuta mafanikio sikuzote hawazijui njia sahihi au mlango sahii wa kuyafikia mafanikio.
Ndio maana imekuwa ni giza kwao, maana unaweza kuanzisha biashara leo,kesho ikafa,je ungejua kama itakufa ungeianzisha?
Lakini pia unaweza unaweza jiingiza katika shughuli mbalimbali bila mafanikio,sasa chakujiuliza ni,je utaacha kutafuta ndoto yako kisa mipango yako yote imekwama? Jibu ni hapana. Ndio maana tunasema YEYOTE ATAKAYE KUZIFIKIA NDOTO ZAKE LAZIMA APITIE ATUA NDOGONDOGO. Sasa basi wewe umepitia atua gani kufikia apo ulipo,au je una atua gani ulizomo ktk kutimiza ndoto zako.
Ndio maana tunasema,WATU WOTE WENYE KUTAKA MAFANIKIO HAWAZIJUI NJIA SAHII. Sasa utashangaa mtu unamtangazia fursa ya biashara lakini anaipuuza nakuona unapoteza muda, lazima ukae utafakari kuwa maisha ni mapambano husije ata sikumoja ukadharau fursa yoyote ile inayojitokeza mbele yako.
Nakumbuka wakati naanza hii biashara ya kisasa nilikumbana na vikwazo vingi sana ikiwemo kebei,matusi na kashfa,ila kwakuwa nilijua hizo ni atua ndogondogo katika kuyaelekea mafanikio,sikukata tamaa,nilijitia moyo nikasonga mbele. Leo hii yule alie niona mwaka jana lazima ataona utofauti ulioko kwangu ukilinganisha na wakati hule.
Hivyo basi ewe ndugu yangu nakukaribisha sana,ili uweze kuungana nami katika kuyatafuta mafanikio,nitakufundisha bure lakini bado pia nitakuonyesha fursa bure utakayoweza kuifanya kwa mtaji mdogo kabisa na kutengeneza kipato chako uku ukiwa nyumbani au sehemu yoyote ukiendelea na shughuli zako na bila kuadhili ratiba yako ya kila siku.
Naitwa Frank A. Ndyanabo, unaweza nipata kupitia mawaziliano niliotoa apo kwenye bango.
Karibu tuyajenge maisha yetu kwa pamoja.
Comments
Post a Comment