FUNGUA MLANGO WA MAFANIKIO YAKO.

FUNGUA MLANGO WA MAFANIKIO YAKO.

Siku mwanadamu atakapo kuja kugundua kuwa siri ya mafanikio yake yako mikononi mwake basi ndio utakuwa mwisho wa umaskini wake.

Tutakuwa tunajiuliza maswali mengi juu ya umaskini na utajili. Niwakati gani unamwita mtu tajiri na mwingine unamwita maskini? Hii maana yake huwezi kutambua kuwa fulani ni tajili na fulani ni maskini pasipo kuwalinganisha kati yao. Ikitokea watu wote wakawa na kipato kimoja na maisha sawa apo huwezi tambua yupi maskini wala tajili. Apo ndio utagundua ili utofautishe jambo fulani eidha kwa ubora au kwa uzuri lazima uwe na chakulinganisha nacho.

Sasa ndio maana kila mtu anatofautiana katika njia za utafutaji wake na hii kila mtu anamlango wake alio fungua maishani mwake ila inatofautiana kwa kiasi kikubwa mpaka kupelekea kuwa na makundi ya watu maskini na watu tajili.

Nataka nikwambie kitu ndugu yangu kuwa,iwe unataka kuwa maskini au tajili funguo ziko mikononi mwako kuweza kuufungua mlango sahihi wa maisha yako.  Na utambue kuwa hakuna mtu mwenye funguo za mwenzake kila mtu ana zake.

Sasa jiulize ni mlango gani unapaswa kufungua ili ufanikiwe?

Wakati naanza kujiajili nilifikilia mambo mengi sana kuwa ni mlango gani nifungue ikiwa funguo ninazo mimi mwenyewe? Ila nilikaa chini na kutafakari kuwa hakuna mtu awezaye kuja kunibadilishia maisha yangu ila ni mimi mwenyewe kuweza kuamua kuchagua mlango wa kufungu.

Milango ipo mingi ila mimi mlango sahii kwangu ni mlango wa ujasiliamali. Siosiri ndugu yangu nayafurahia maisha haya,maana hakuna anaye nibana sipangiwi ratiba na mtu,naifanya kazi yangu nikiwa sehemu yoyote ata niwe nyumbani au niwe safarini naifanya tu.

Na siri ya mafanikio hayo ni toka nilopogundua kuwa nikiweza kutumia MUDA  wangu vizuri nitafanikiwa, ikabidi niamue kuwekeza sasa kwa WATU hii inanisaidia sana maana JUHUDI na maarifa ninayotumia yanazidi kuongeza kipato changu kila siku.

Lazima utambue kuwa hakuna kazi ngumu kama kuamisha pesa ya Mtu kutoka mfukoni mwake na kuja mfukoni mwako,ila ukiweza jua mbinu ya kufanya hivyo basi nirahisi sana. Vitu hivi MUDA,WATU na JUHUDI vimekuwa funguo ktk maisha yangu.

Sasa basi swali la kujiuliza ni,Je wewe unaitaji kufungua mlango wako wa mafanikio? Kama jibu ni NDIO basi ungana nami nikufundishe mbinu sahii za kujiajili kwa kutumia MUDA,WATU NA JITIHADA kama fungu za maisha yako kwa kutumia muda wa ziada.

Tambua kuwa msukumo wako unatakiwa kutoka moyoni mwako,hakuna mtu awezaye kuja na kufikilia badala yako bali wewe ndio muamuzi wa maisha yako,FUNGUO ZIKO MIKONONI MWAKO IVYO NI MAAMUZI YAKO KUFUNGUA MLANGO SAHIHI

Wasilia nami whatsapp kwa number 0785 494 456 AU waweza tembelea blog yangu www.fancompany.blogspot.com. Pia waweza wasiliana nami kwa barua pepe, frankalfred2814@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG