MALENGO NI TASWIRA YA KILE UKITAKACHO.

MALENGO NI TASWIRA YA KILE UKITAKACHO.

Katika maisha kila mtu anakitu fulani ambacho anatamani kuwa nacho,AYO NDIO MALENGO YAKO.

Kila mtu ana maisha fulani ambayo anatamani kuyahishi siku za baadae,AYO NDIO MALENGO YAKO.

Kila mtu anamchumba fulani ambae anatamani ajekuwa mume au mke wake wa ndoa,AYO NDIO MALENGO YAKO.

Sasa basi kwakuwa kila mtu ana lengo lake katika maisha, je umejipangaje kulitimiza au je unalengo ulilojiwekea maishani? Au unaishi tu bila kuwa na ndoto?

Ebu acha ujumbe wako apo chini wowote juu ya malengo yako ya baadae kisha mm nitakutafuta ili nikufundishe jinsi ya kutimiza malengo yako,maana yawezekana unamalengo fulani lakini hujui jinsi ya kuyatimiza.

Naitwa Frank A. Ndyanabo, mshauri wako wa maswala ya biashara na ujasiliamali, whatsapp/imo/text +255 785 494 456

Au tembelea www.fancompany.blogspot.com. uache ujumbe wako pale.

Comments

Popular posts from this blog

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG