NYUMBANI BUSINESS PLAN
NYUMBANI BUSINESS PLAN.
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016. FRANK A. ALFRED-FAN Inakuletee project mpya itakayo kupa nafasi ya kujifunza mbinu mbalimbali za kuendesha biashara yako kisasa uku ukiwa nyumbani. Ni kuanzia January 2016 husipange kuikosa.
Tumia nafasi hii kutimiza ndoto zako zilizokwama 2015. Huna sababu ya kuikosa Project hii mpya.
Nikutakie sherehe njema za X- Mass na mwaka mpya.
"Timiza ndoto yako na Nyumbani Business Plan"
Frank A. Ndyanabo-FAN.
0785 494 456
Comments
Post a Comment