NYUMBANI BUSINESS PLAN
"Tunapoelekea kuanza project yetu ya NYUMBANI BUSINESS PLAN lazima utambue kuwa mitandao ya kijamii kama facebook, instagram, twitter, tango, telegram, imo, whatsapp, badoo, viber n.k imekuwa ikichukuliwa kama sehemu ya kupotezea muda na kufanyia mambo ya kipuuzi. Ila unafahamu kupitia mitandao hiyo unaweza kutengeneza pesa mpaka ukashangaa?
Jiandae kujifunza mbinu za kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii. Ungana nami katika project hii nikufunze zaidi.
By,
Frank A. Ndyanabo.
Comments
Post a Comment