BAADHI YA FAIDA YA NYUMBANI BUSINESS PLAN

BAADHI YA FAIDA YA NYUMBANI BUSINESS PLAN.

Kupitia NBP utanufaika na mambo yafuatayo.
1. Jinsi ya kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo.
2. Jinsi ya kuzitambua ndoto zako.
3. Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji.
4. Jinsi ya kupata wazo la biashara.
5. Jinsi ya kuendesha biashara bila kuathiri ajira yako.
6. Jinsi ya kukuza biashara yako.
7. Jinsi ya kutengeneza masoko ya biashara yako.
8. Kutambua mahitaji ya  jamii yako kibiashara.
9. Njia rahisi za kutunza kumbu kumbu ya biashara yako.
10. Jinsi ya kuandaa mapato na matumizi yako kwa mwaka, mwezi na wiki.

Jiunge sasa uweze kujipatia elimu hii.

JINSI YA KUJISAJILI.

Ili ushiliki katika jukwa hili, NYUMBANI BUSINESS PLAN  Inakupa mfumo wa malipo kama ifuatavyo.
▶ kwa wiki ni Tsh 5000.
▶ kwa siku moja Tsh 2000.

Tuma pesa yako kwenda namba 0764246877.

Baada ya kutuma pesa, tuma jina lako kamili kwenda namba 0764246877 ukiambatanisha na muhamala wa malipo uliorudi baada ya kutuma pesa.

"Opportunity dances with those who are ready on the dance floor "

🔥KARIBUNI SANA🔥

Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG