MAISHA YA MBELENI NI BORA ZAIDI

MAISHA YA MBELENI NI BORA ZAIDI.

Utakuwa unashangaa au unaona kama muujiza, ila ndio ukweli wenyewe sasa.

Tunakoelekea kila kitu kinabadilika na kuwa bora zaidi.

Kizazi kijacho ni Kizazi cha kisasa zaidi kila kitu kitakuwa kisasa zaidi mambo ya kizamani hakuna tena.

Technology inakuwa kila leo ukizubaa unajikuta katika ulimwengu wako peke yako.

Nishati inaongezeka ili kuongeza utendaji.

Wanawake wanazidi kuwa warembo zaidi ya unavyo fikilia, kila utakayekutana nae ni mrembo zaidi ya yule, jipange sasa.

Swala la kulalamika mitaji hakuna tena.  Biashara zote zitakuwa mtaji ni zero sasa wewe kaa usubilie mtu akuletee mtaji ili uanze biashara.

Ulimwengu huu unauwezo wa kufanya biashara, kufanya kazi, kusoma ukiwa nyumbani.  Kila kitu rahisi.

Sasa wewe umejipangaje ndugu yangu. Amka sasa mwaka umeishaanza kutembea tafuta mbinu sahihi kwa watu sahihi sio kudharau kila kitokeacho mbele yako.  Ungana na watu makini ili wakufunze mambo makini.

Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG