NYUMBANI BUSINESS PLAN

Unapoamua kufanya jambo ambalo unahisi linalenga kutimiza ndoto yako fanya kwa moyo mmoja pasipo kuangalia nani anasema nini juu yako, hupaswi kugeuka nyuma na kuangalia nani ana kuangalia. Bali songa mbele daima.

Tambua wewe ni wewe na hakuna mwingine kama wewe, bali utabaki kuwa wewe.

Ukitaka kuwa na mafanikio fanya kitu kile ambacho ni tofauti, pasipo kuangalia nani amefanya nini au anafanya nini. Jaribu kuwa wa tofauti. Fanya mambo ambayo wengine wanahisi hayawezekani.

JIUNGE SASA NA NYUMBANI BUSINESS PLAN.

Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG