UMEKANYAGA NINI?

Bwana mmoja alikuwa mgonjwa sana ICU na alikuwa kwenye oxygen kimyaa.Nduguze walikwenda kumwona na wakawa katika mazungumzo bisy.Mgonjwa wao huzungumza kwa kuandika alichukua kalamu na karatasi akaandika jambo na kumpa mmojawao.
          Badala ya kusoma saa ile ile alikiweka mfukoni na gumzo liliendelea.Mara mgojwa alikata roho.Loo wakakumbuka kusoma ule ujumbe Yoooooooo uliandikwa hivi" " "INUA MGUU UMEKANYAGA BOMBA LA OXYGEN NASHINDWA KUPUMUA"" " ".ITS TOO LATE.
         Fundisho
                Umekanyaga bomba gani kazi ya Mungu isisonge mbele
                 Umekanyaga bomba gani mwenzio wa ndoa akajiona mjakazi?
               Umekanyaga bomba gani mwenzio asionyeshe karama yake?
               Umekanyaga bomba gani mwenzio asipandishwe cheo?
               Umekanyaga bomba gani familia yako iwe hohe hahe?
              Umekanyaga bomba gani uchumi wa nchi ukadorora?
Sasa achilia mabomba yote uliyoyakanyaga kadri Mungu atakavyokuongoza nawe utabarikiwa.

Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG