FAIDA ZA MMEA WA GINSENG
FAIDA ZA MMEA WA GINSENG. Ginseng ,au maarufu kama “king of herb” (mfalme wa mimea). Mmea huu umekuwa moja ya maajabu ya dunia kutokana na uhodari wake katika matibabu. Mmea huu unapatikana hasa kaskazini mwa America na Mashariki mwa Asia(hasa kaskazini mwa china,Japani na Korea) hasa maeneo yenye baridi. Kuna aina kuu mbili za mmea huu : American Ginseng(Panax quinquefolium) na Asian Ginseng au China ginseng(Panax ginseng) American Ginseng ni zenya asili ya ubaridi( Ying energy) na Asian Ginseng ni zenye asili ya ujoto(Yang ginseng) , hivyo basi watu wenye asili ya ubaridi au waishio maeneo ya baridi wanashauriwa kutumia Asian ginseng ili waweze kupata joto na wale wenye asili ya joto au waishio maeneo ya joto wanashauriwa kutumia American ginseng kwaajili ya kuongeza baridi katika mili yao. Vinginevyo matatizo makubwa yanaweza kujitokeza hasa kwa watu wenye shinikizo la damu . Mbali na utofauti wote huo lakini mimea yote ina kiungo ...