NI ZAMU YAKO MKAZI WA MWANZA 09/07/2016.

Swali la kujiuliza ni je, unandoto na unatamani itimie, ila hujui jinsi ya kuitimiza?

Basi ungana nami tarehe 09/07/2016 ndani ya GOLD CREST HOTEL - Mandela hall,  kuanzia saa sita mchana mpaka saa kumi na moja jioni.

Nitakuwepo kukufundisha mbinu mbalimbali za kibiashara na kukutengenezea misingi ya kutimiza ndoto yako. 

1. Nitakufundisha mbinu za kuweza kutoka kuitegemea ajira tu na kuanza kujiajiri.  Pia

2. Nitakuonyesha mbinu mbalimbali za kuanzisha biashara.

Pia nitakuwa na wenzangu ambao watakusaidia  kukupatia maarifa mbali mbali yatakayo fungua akili yako na kuwa mpya na kisha kuanza kutimiza ndoto yako.

Kwaajili ya kukuwekea nafasi, basi tuma jina lako mapema kwenda namba +255 785 494 456. Maana watu watakuwa wengi Ivyo Tuma jina mapema ili tukuwekee nafasi.

Unaruhusiwa kumualika ndugu, jamaa na rafiki yako ili nao waje wapate elimu hii BURE.

KARIBU SANA.

Comments

Popular posts from this blog

ZIFAHAMU FAIDA ZA NANASI KAMA DAWA MWILINI

FAIDA KUMI ZA MAPERA MWILINI.

FAIDA ZA MMEA WA GINSENG