Posts

KANSA YA TITI (BREAST CANCER)

Image
KANSA YA TITI. Huu ni uvimbe ambao unatokea kwenye titi ambao huathiri ukuaji wa seli zinazounda titi na kusababisha zikue kwa kasi kubwa isivyo kawaida. Seli hizi hutokea ambazo huathiriwa ktk ukuaji hupatikana sehemu zifuatazo: ~Kwenye tezi za titi (Lobular carcinoma) ~kwenye mirija ya maziwa (tubular carcinoma) ~Kwenye chuchu ya titi (Pagets disease of the nipple) Hizo ni sehemu kuu tatu ambazo seli za titi huathirika na kuwa seli za kansa. Hivyo basi kwa ujumla unaweza kusema kuwa kuna aina kuu tatu za kansa za titi kama nilivyo changanua hapo juu msomaji.  UTOFAUTI KATI YA KANSA YA TITI NA UVIMBE WA KAWAIDA KWENYE TITI. ~Uvimbe ambao ni kansa ukuaji wake ni wa kasi sana ukilinganisha na uvimbe wa kawaida. Mfano:Anaweza kuja rafiki yako anakueleza huu uvimbe upo hapo tangu miaka 5 iliyopita huwa unaongezeka lkn kidogo mno. Hapo utajua sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu. Lakini pia rafiki yako anaweza kuja anakueleza nina uvimbe hapa akifunua unakuta titi l...

KIJANA NA MABADILIKO

Image
KIJANA NA MABADILIKO Huu ndio wakati wako wa kuweza kuungana na watu wenye mtazamo chanya ili uweze kubadili maisha yako na kuweza kutimiza ndoto zako. Huwezi kujifunza mbinu za kitu fulani kama haujihusishi nacho, Ungana nami niweze kukujuza mengi yatakayo weza kukutoa atua moja na kwenda atua nyingine, nipigie kupitia namba hii ili nikufunze mengi +255 785 494 456

JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA KIPATO

Image
JUFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA KIPATO Maisha yako yanautegemea wewe ili uweze kuyabadili ungana nami nikufundishe mbinu za kukuwezesha kutengeneza kipato utakacho furaia maisha yako yote, Wasiliana na mimi kupitia number ifuatayo +255 785 494 456 ili nikufundishe mbinu izo
Image
Kwa maitaji wasiliana nami kupitia number hii  +255 785 494 456
Image
Kwa maitaji wasiliana nami kupitia number hii  +255 785 494 456
Image
Kwa maitaji wasiliana nami kupitia number hii  +255 785 494 456
Image
Kwa maitaji wasiliana nami kupitia number hii  +255 785 494 456