Posts
Showing posts from December, 2015
NYUMBANI BUSINESS PLAN
- Get link
- X
- Other Apps
Natafakari zab.116:12 nimrudishie nini bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Ameniwezesha mangapi ikiwemo uhai? Ameniepusha mangapi kikiwepo kifo?, tena ni ndugu wangapi nilianza nao mwaka lakini mpaka dakika hii sipo nao?, nimemtendea nini MUNGU mpaka dakika hii mimi napumua?. Naomba uungane nami katika kutafakari fungu hili kwa kusema yote ni kwa NEEMA TU. Ukiweza chota nawe baraka hii kwa kuwatumia japo watu 5 ujumbe huu utabarikiwa sana
NYUMBANI BUSINESS PLAN
- Get link
- X
- Other Apps
"Tunapoelekea kuanza project yetu ya NYUMBANI BUSINESS PLAN lazima utambue kuwa mitandao ya kijamii kama facebook, instagram, twitter, tango, telegram, imo, whatsapp, badoo, viber n.k imekuwa ikichukuliwa kama sehemu ya kupotezea muda na kufanyia mambo ya kipuuzi. Ila unafahamu kupitia mitandao hiyo unaweza kutengeneza pesa mpaka ukashangaa? Jiandae kujifunza mbinu za kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii. Ungana nami katika project hii nikufunze zaidi. By, Frank A. Ndyanabo.
NYUMBANI BUSINESS PLAN
- Get link
- X
- Other Apps
NYUMBANI BUSINESS PLAN. Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016. FRANK A. ALFRED-FAN Inakuletee project mpya itakayo kupa nafasi ya kujifunza mbinu mbalimbali za kuendesha biashara yako kisasa uku ukiwa nyumbani. Ni kuanzia January 2016 husipange kuikosa. Tumia nafasi hii kutimiza ndoto zako zilizokwama 2015. Huna sababu ya kuikosa Project hii mpya. Nikutakie sherehe njema za X- Mass na mwaka mpya. "Timiza ndoto yako na Nyumbani Business Plan" Frank A. Ndyanabo-FAN. 0785 494 456
JE WEWE UNAWAZA KUFANIKIWA BAADA YA MUDA GANI?
- Get link
- X
- Other Apps
Najua huu umekuwa ni ugonjwa kwa tulio wengi hasa pale tunapo anzisha miradi mbalimbali. Kwa kuwaza kufanikiwa kwa kutumia muda mfupi. Jana katika semina yangu na wajasiriamali wa mwanza niliweza kulizungumzia hili swala kwa mapana zaidi, naamini wale walioshiliki kwa siku ya jana naamini walijifunza kitu. Mafanikio hayaji kirahisi bali yanakuitaji uvumilivu na jitihada zaidi na hatupaswi kukata tamaa. Jambo hilo analizungumzia tena hapa bilionea wa kiafrika bwana Dangote,mafanikio sio ndoto ya muda mfupi, ikiwa yeye imemchukua miaka 30 mpaka apo alipo,iweje wewe utake kufanikiwa kwa miezi kadhaa. Futa mawazo hayo na anza kujituma na husikate tamaa.
UKUBWA WA ELIMU YAKO SIO KIGEZO CHA WEWE KUFANIKIWA.
- Get link
- X
- Other Apps
UKUBWA WA ELIMU YAKO SIO KIGEZO CHA WEWE KUFANIKIWA. Tumekuwa tukiwaza kuwa ukiwa na elimu kubwa kama kuanzia degree,masters,PhD au Profesor basi ndio unaweza fanikiwa katika maisha. Nahili limekuwa likijengeka siku adi siku miongoni mwetu. Na nikutokana na uridhi wa fikra tuliopata kutoka kwa walio tutangulia. Utakuta ata mzazi anamsisitizia mwanae kuwa ukitaka kuishi maisha mazuri lazima usome sana. Sipingani na hilo,ila chakuzingatia apa ni kuwa kusoma sana au kuwa na elimu kubwa sio kigezo cha mtu kufanikiwa kimaisha. Kama huna mtazamo chanya maishani mwako basi ata usome mpaka vyuo vyote duniani bado utaendelea kuwa na maisha duni. Nataka nikwambie ukiwa na mtazamo chanya wakujiletea mafanikio ata uwe hujaenda shule au umeishia darasa la saba. Hujawai kujiuliza kwanini watu watu waliosoma sana wanamaisha ya kawaida ukilinganisha na walioishia shule za chini? Si unawaona wamekuzunguka? Ebu mtazame tajiri mkubwa apo jirani yako au mtaani kwako kaishia darasa la ngapi? Je...
KWANINI HATUFANIKIWI KATIKA MIPANGO YETU AU KWA NINI NDOTO NYINGI HAZITIMII.
- Get link
- X
- Other Apps
KWANINI HATUFANIKIWI KATIKA MIPANGO YETU AU KWA NINI NDOTO NYINGI HAZITIMII. SEHEMU YA 2: Katika somo lililopita tuliweza kuziangazia sababu mbalimbali zinazo sababisha watu wengi kushindwa kuzitimiza ndoto zao. Tuliweza kuona kuwa kuna sababu kuu mbili; ▶ Sababu za ndani ya nafsi ya mtu ▶ Sababu za nje ya nafsi ya mtu. Natuliweza kuzichambua kwa kina sababu zilizo ndani ya mtu. Na leo tutaangalia kiundani sababu ya pili, ya sababu zilizo nje ya nafsi ya mtu. 2⃣ Sababu za nje ya nafsi ya Mtu. Hizi ni sababu ambazo zimeweza angamiza ndoto za watu wengi maana ni sumu ya mafanikio ya mwanadamu kuliko kitu chochote. Ebu tuziangalie sababu hizo maana zipo za aina mbali mbali kulingana na mazingira na wakati. 1. Kuofia kuchekwa. Kuna baadhi ya watu uzionea haya ndoto zao kwa watu wengine. Mtu unakuta anawazo zuri tu ila kwakuwa anaogopa jamii inayomzunguka kumcheka basi ukuta wazo lake linatokomea na kufa. Ivyo basi ukitaka ufanikiwe upaswi kujijengea wazo hi...
KWANINI HATUFANIKIWI KATIKA MIPANGO YETU AU KWANINI NDOTO NYINGI HAZITIMII?
- Get link
- X
- Other Apps
KWANINI HATUFANIKIWI KATIKA MIPANGO YETU AU KWANINI NDOTO NYINGI HAZITIMII? SEHEMU YA 1: Mafanikio ni nini? Hili ni swali ambalo linaweza kuwa jepesi kwa baadhi ya watu ila niswali gumu sana kwetu wana damu. Lazima ujiulize nini maana ya mafanikio. Mafanikio nikitendo cha kutimiza kile ulicho jipangia kutimiza kwa muda fulani. Neno mafanikio linajieleza kuwa ni kupiga atua kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Watu tumekuwa tukishindwa kuchanganua jambo hili kiundani na ndio maana tunalichukulia kawaida sana kwakuwa tumelizoea. Ila kiualisia ni neno moja zito na pana sana katika maisha ya kila siku na maisha ya mwandamu Watu wengi tumekuwa tukishinda kutimiza yale tulio jiwekea/kufanikiwa kutokana na sababu mbalimbali zinazo tukabili hasa vijana wa leo. Kutokana na jinsi nilivyokaa na kutafakari jambo hili nimegundua kuwa sababu hizi zimegawanyika katika makundi makuu mawili; ▶ Sababu za ndani ya nafsi ya mtu. ▶ Sababu za nje ya nafsi ya mtu. 1⃣. Sababu za nda...