ZIFAHAMU FAIDA KUMI NA NANE ( 18 ) ZA MTI WA MPAPAI
Watu wengi hulitumia tunda la papai kwa sababu ya utamu wake. Hata hivyo mbali na kuwa na ladha nzuri, tunda la papai lina faida lukuki kwa afya ya mwanadamu. UTAJIRI WA VITAMINI Tunda la papai lina vitamini A,B,C,D, na E jambo linalo liweka tunda hili katika kundi la matunda na vyakula vyenye utajiri mkubwa wa vitamin. FAIDA ZA KIAFYA ZA TUNDA LA PAPAI Tunda la papai lina faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kuwa na uwezo wa : Mbegu za Papai : 1. Kutibu tatizo la Shida ya kusaga chakula tumboni 2. Kutibu Udhaifu wa tumbo 3. Kutibu Kisukari na asthma au pumu. 4. Kutibu Kikohozi kitokacho mapafuni Mizizi Ya Papai : 5. Kutibu Kifua kikuu 6. Tunda hili huleta afya nzuri ukitumia kila siku 7. Maziwa yanayotoka katika jani lake huponya vidonda 8. Vilevile yanasaidia kutibu sehemu palipoungua moto 9. Kama hiyo haitoshi, maziwa yanayotoka katika jani la mpapai yanatibu kiungulia na Ugonjwa wa colon (njia ya haja kubwa ndani) Majani ...